Recent Posts

ACACIA-BUZWAGI KUKABIDHI UWANJA WA NDEGE KAHAMA KWA SERIKALI

SERIKALI imekabidhiwa rasmi kiwanja cha ndege cha Kahama kilichokuwa kikimilikiwa na kampuni ya uchimbaji madini ya Acacia kupitia mgodi wake wa Buzwagi.
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Zainabu Telack amesema, uwanja huo kwa sasa ulikuwa hautumiki hivyo serikali iliona ni vyema kuuchukua na kuendelea kutoa huduma kwa Watanzania.
“…Si mara nyingi wanaleta ndege, tukaona kwa nini serikali tustumie uwanja huu kuwahudumia wananchi wa hapa, lakini pia mwaka tutakuwa na Uwanja wa ndege wa Shinyanga hivyo haya ni maandalizi,” amesema Taleck.
ACACIA-BUZWAGI KUKABIDHI UWANJA WA NDEGE KAHAMA KWA SERIKALI ACACIA-BUZWAGI KUKABIDHI UWANJA WA NDEGE KAHAMA KWA SERIKALI Reviewed by praise joe on 08:52 Rating: 5

No comments:

Theme images by i-bob. Powered by Blogger.