Recent Posts

Haya ndio aliyoyazungumza Zitto Kabwe baada ya kuhojiwa na polisi Dar es salaam


Jana, June 08 2016 Kiongozi wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe amefika Makao makuu kanda maalum ya Dar es salaam, ikiwa ameitikia wito wa polisi. Zitto amefika kituoni hapo na ametakiwa atoe maelezo kuhusiana na maudhui ya hotuba ambayo aliitoa June 5 2016.
>>>nimesikitika tu kwamba sasa hivi tumefikia hali ambayo unapoenda kwenye mikutano kama kiongozi wa siasa unaanza kufikiria useme nini au usiseme nini, hali ambayo haikuwepo kwa takribani miaka 10 iliyopita tulikuwa huru kabisa kuweza kueleza mawazo yetu na hatua mbalimbali za kisiasa’.
Unaweza kutazama video kwaku click link hapa chini '
https://youtu.be/rCkr8ZAouGc

Haya ndio aliyoyazungumza Zitto Kabwe baada ya kuhojiwa na polisi Dar es salaam Haya ndio aliyoyazungumza Zitto Kabwe baada ya kuhojiwa na polisi Dar es salaam Reviewed by praise joe on 23:06 Rating: 5

No comments:

Theme images by i-bob. Powered by Blogger.