Recent Posts

Ushauri wa Zitto Kabwe kwa CCM na CUF kuhusu Zanzibar


June 05 2016 ulifanyika mkutano wa hadhara katika viwanja vya Zakhem Mbagala, Dar es salaam ambapo Kiongozi wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe alipata nafasi ya kuzungumza katika mkutano huo, kati ya mambo aliyoyazungumzia ni pamoja na huu ushauri kwa CCM na CUF kuhusu Zanzibar.
uchaguzi wa october 2015 CCM wameukataa, uchaguzi wa March 2016 CUF wameukataa, wito ninaoutoa kwa vyama vya CCM na CUF, wakubaliane uchaguzi wa october 2015 na uchaguzi wa March 2016 zote sio chaguzi waunde serikali ya mpito uitwe uchaguzi mpya chini ya tume mpya ya uchaguzi atakayeshinda apewe serikali’ 
Ushauri wa Zitto Kabwe kwa CCM na CUF kuhusu Zanzibar Ushauri wa Zitto Kabwe kwa CCM na CUF kuhusu Zanzibar Reviewed by praise joe on 22:16 Rating: 5

No comments:

Theme images by i-bob. Powered by Blogger.