Recent Posts

Wabunge watoro wapigwa Stop kulipwa posho


June 8 2016 Serikali kupitia Wizara ya fedha na mipango imewasilisha bungeni Dodoma mapendekezo ya makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha 2016/2016. Jukumu la kuwasilisha limefanywa na Waziri Philip Mpango. 
Baada ya kumalizika kwa uwasilishaji huo, Naibu spika Tulia Ackson akasimama kusoma mwongozo kuhusu wabunge wanaotoka nje ya bunge huku wakiendelea kupokea posho.
Mbunge anatakiwa kulipwa mshahara au posho kulingana na kushiriki mijadala ya bunge, kususia au kutotimiza wajibu wake na si halali kupokea malipo
Natamka kuwa wabunge waliotoka nje ya ukumbi kwa shughuri zisizokuwa rasmi hawastahili kulipwa posho kwa siku zote ambazo watakuwa nje mpaka tutakapotangaza utaratibu mwingine ‘
Wabunge watoro wapigwa Stop kulipwa posho Wabunge watoro wapigwa Stop kulipwa posho Reviewed by praise joe on 22:35 Rating: 5

No comments:

Theme images by i-bob. Powered by Blogger.