Recent Posts

MANJI kawaomba Yanga wamchague ila kama wanataka uwanja Jangwani, wanatakiwa wajue hili


June 10 2016 ndio ilikuwa siku ambayo uongozi wa kamati ya uchaguzi wa Yanga na wagombea wote walifunga kampeni zao ikiwemo mgombea wa nafasi ya uenyekitiYusuph Manji, kubwa ni sera za Manji ambapo amewaambia wanachama kama wanataka uwanja ni lazima wakubali kupambana.
“Kama tunataka eneo hili ujengwe uwanja ni lazima tukubali kupambana kwa namna yoyote ile, ikiwemo tuombe kibali cha maandamano ili tupate vibali vya kuwezesha tujenge uwanja, hili jambo ili lifanikiwe hatuwezi kufanikiwa kama mtu akiwa kalala kitandani”
MANJI kawaomba Yanga wamchague ila kama wanataka uwanja Jangwani, wanatakiwa wajue hili MANJI kawaomba Yanga wamchague ila kama wanataka uwanja Jangwani, wanatakiwa wajue hili Reviewed by praise joe on 23:34 Rating: 5

No comments:

Theme images by i-bob. Powered by Blogger.