Recent Posts

Tetesi za Tiwa Savage kuwa amesaini Roc Nation ya Jay Z


Zile tetesi za Msanii Tiwa savage kutoka Nigeria  kusainiwa katika label ya Roc Nation ya Rapper Jay Z zaweza kuwa sio tetesi tena, hiyo inatokana na Tiwa Savage pamoja na Manager wake Don Jazzy wa Mavin Record kupost katika kurasa zao za Instagram, picha inayoashiria kama ule mpango wa kusaini umetimia.
Hii imetokea siku chache baada ya Rapper Wale kusema alishawahi kumpendekezaWizkid kusainiwa kwenye record label ya Roc Nation katika moja ya Interviews alizowahi kuzifanya.
Kama kweli Tiwa Savage atakuwa amesaini Roc Nation atakuwa ni msanii wa kwanza wa kike  kutoka Africa kusainiwa chini ya record label hiyo kwani yupo Rapper Waleambaye ni Raia wa Marekani lakini ana asili ya Nigeria.
Tetesi za Tiwa Savage kuwa amesaini Roc Nation ya Jay Z  Tetesi za Tiwa Savage kuwa amesaini Roc Nation ya Jay Z Reviewed by praise joe on 22:24 Rating: 5

No comments:

Theme images by i-bob. Powered by Blogger.