Recent Posts

Tazama: Polisi Dar es salaam walivyomuita Zitto Kabwe kwa mahojiano

June 07 2016 zilienea taarifa kuwa Jeshi la polisi kanda maalum ya Dar es salaam kumuita Kiongozi mkuu wa chama cha ACT Wazalendo na Mbunge wa Kigoma Mjini,Zitto Kabwe kwa mahojiano. Zitto Kabwe amepatikana na kuthibitisha taarifa hiyo……..
>>>’Ni kweli nimepigiwa simu na mkuu wa upepelezi wa makosa ya jinai wa kanda maalum ya Dar es salaam Kamanda wambura kunifahamisha kuwa wamenihitaji leo, nimemwambia siwezi kwenda masaa yale ya saa kumi na moja ni muda wa kufuturu kwa hiyo nimemuomba niende kesho
Kuhusu sababu ya wito huo Zitto amesema……..>>> hilo nitalikuta polisi, polisi wana mamlaka ya kumuita raia yeyote na watampa maelezo kule kwa hiyo nitakwenda na wanasheria na baadae tutaweza kujua na nitatoa taarifa ni nini ambacho nimeitiwa’
Tazama: Polisi Dar es salaam walivyomuita Zitto Kabwe kwa mahojiano Tazama: Polisi Dar es salaam walivyomuita Zitto Kabwe kwa mahojiano Reviewed by praise joe on 22:10 Rating: 5

No comments:

Theme images by i-bob. Powered by Blogger.